I love Swahili...Just not the written type...he he
Let it be known that Piranha was never a fan of Swahili but he had the best swahili teacher ever...It aint ur fault Elizabeth Pamba...it's totally mine!
Loading all the Swahili av learnt...
*Error...nothing to load!*
Retrying back-up servers...
Loading all kinds of swahili...
Checking....
*Found Options..(Sheng', Kyuk-Kiswa)*
Advanced search parameters....
*Sorry! Search yielded nothing!*
Dilemma big tym but here goes...
Kwa Kina na urefu, Mawazo yamenikita
Yakanibana kama nyavu, kwa wingi yanapita
Kiswahili ndo sababu, ya mafikira kupata
Swali lataka jibu, Kifukuzwe...Kitukuzwe
Kukielewa kiswahili, ni mzozo wa yangu nafsi
Kukitia kwenye akili, ni azimio lenye tesi
Kwa kasi nimekubali, Kiswahili kaniasi
Swali lataka jibu, Kifukuzwe...Kitukuzwe
Kiswahili yetu lugha asili, Twafaa kujivinia kamwe
Tena ndani nyingi adili, ingawa utata ni kisemwe
Kiswahili ni kama asali, tena ni pia ngumu mawe
Swali lataka jibu, Kifukuzwe...Kitukuzwe
Archive Search...
*Error...no more swahili in archives...!*

the roots where it was born...
Comments
Post a Comment